<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Rais Xi atoa pongezi kwa mafanikio kamili ya jukumu la chombo cha utafiti wa Mwezi cha Chang'e-6

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024

    BEIJING - Rais Xi Jinping wa China, ametoa pongezi siku ya Jumanne kwa mafanikio kamili ya jukumu la chombo cha Chang'e-6, ambacho kimerudisha duniani sampuli za kwanza zilizokusanywa kutoka upande wa mbali wa Mwezi na kimetua kwa usahihi kabisa katika eneo lake lililokuwa limepangwa huko Siziwang Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, majira ya saa 8:07 Mchana (Saa za Beijing) siku hiyo ya Jumanne.

    Kwa niaba ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Baraza la Serikali la China na Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) ametoa pongezi na salamu za dhati kwa makao makuu ya jukumu hilo la chombo cha Chang'e-6 na wale wote walioshiriki katika utekelezaji wa jukumu hilo.

    Rais Xi amebainisha kuwa chombo cha Chang'e-6, kwa mara ya kwanza katika historia ya binadamu, kimekusanya sampuli kutoka upande wa mbali wa Mwezi na kurudi duniani, ikidhihirisha mafanikio mengine ya kihistoria katika jitihada za China za kujenga nchi yenye nguvu katika anga ya juu na vilevile kwenye sayansi na teknolojia.

    Katika miaka 20 iliyopita, wote walioshiriki katika utafiti na ujenzi wa mradi wa utafiti wa Mwezi wamepandisha ngazi ya juu ya sayansi na teknolojia, na kupata mafanikio ya ajabu ambayo yamevutia ufuatiliaji mkubwa wa Dunia, na mchango mkubwa uliotoa utakumbukwa daima na nchi na watu, Rais Xi amesema.

    Rais Xi ametoa wito wa kufanya utafiti wa kisayansi kwa makini zaidi juu ya sampuli zilizopatikana kwenye Mwezi, kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya utafiti wa anga ya juu ya China, ikijumuisha utafiti wa sehemu za mbali na ndani zaidi za anga ya juu, na kuimarishwa kwa mawasiliano na ushirikiano wa kimataifa.

    Pia amehimiza juhudi za kutoa mchango mpya katika kufichua mambo yasiyojulikana wazi ya ulimwengu, kuendeleza ustawi mzuri wa binadamu, na kujenga nchi yenye nguvu na kuendeleza mambo makuu ya ustawishaji wa taifa kupitia ujenzi wa mambo ya kisasa wa China.

    Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akiangalia namna chombo cha Chang'e-6 kilivyotua na kupatikana katika Kituo cha Udhibiti wa Anga ya Juu cha Beijing,  Juni 25, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akisoma salamu za pongezi za Rais Xi Jinping wa China, katika Kituo cha Udhibiti wa Anga ya Juu cha Beijing, Juni 25, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线