<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Rais Xi Jinping atoa wito kwa watu wa kujitolea wa ulinzi wa mazingira kuhimiza kubana matumizi ya maji na kulinda ubora wa maji

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2024

    BEIJING - Rais wa China Xi Jinping ametoa wito kwa watu wa kujitolea wa ulinzi wa mazingira kuhimiza kubana matumizi ya maji na kulinda ubora wa maji, na kutoa mchango kwa ajili ya ujenzi wa mambo ya kisasa ulio kuwa na hali ya mapatano kati ya binadamu na mazingira ya asili.

    Kabla ya leo Alhamisi ambayo ni Siku ya Ikolojia ya nchi ya China, Rais Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), ametoa wito huo katika barua ya majibu kwa watu wa kujitolea wa Bwawa la Danjiangkou la mji wa Shiyan, Mkoa wa Hubei katikati mwa China.

    Danjiangkou ni chanzo cha maji kwa njia ya kati ya Mradi wa China wa Kupeleka Maji kutoka Kusini hadi Kaskazini. Rais Xi alitoa maagizo muhimu wakati sehemu ya kwanza ya njia hiyo ilipoanza kutoa maji Mwaka 2014.

    Katika muongo mmoja uliopita, maofisa na wakazi pamoja na watu wa kujitolea wa ulinzi wa mazingira walifanya juhudi zaidi kwenye ulinzi wa ubora wa maji ya Bwawa hilo. Hivi karibuni, watu hao wa kujitolea walimwandikia barua Rais Xi kusisitiza huduma zao na kuelezea dhamira yao thabiti ya kulinda ubora wa maji ya Bwawa hilo.

    Katika barua hiyo ya majibu, Rais Xi amepongeza jitihada za watu wa kujitolea, akisema ushiriki mpana wa umma umesaidia kufanya "maji katika eneo la bwawa hilo kuwa safi zaidi, milima kuwa ya kijani na mazingira kuwa yenye kupendeza zaidi."

    Xi amedhihirisha kuwa mradi huo wa kupeleka maji unabeba umuhimu wa kimkakati na ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa muda mrefu wa watu, Rais Xi ametoa wito kwa juhudi za kudumu za kulinda mazingira ya kiikolojia ya chanzo hicho cha maji.

    Rais Xi amehimiza watu wa kujitolea kuhamasisha watu wengi zaidi kuhifadhi kwa uangalifu rasilimali za maji na kufanya kazi pamoja ili kujenga China yenye kupendeza na kutoa mchango zaidi kwa ajili ya ujenzi wa mambo ya kisasa ulio wa kuwa na hali ya mapatano kati ya binadamu na mazingira ya asili.

    Rais Xi pia ametoa salamu za dhati kwa wafanyakazi na watu wa kujitolea wa ulinzi wa mazingira kote nchini China katika barua yake hiyo ya majibu.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>