<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Mgogoro?kati ya Israel na Hezbollah waongezeka, ukizidisha hofu za vita vya kikanda

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2024

    Mfumo wa Israel wa kuzuia makombora ukizuia roketi zilizorushwa kutoka Lebanon, karibu na Kiryat Shmona, kaskazini mwa Israel, Septemba 18, 2024. (Picha kutoka CFP.CN))

    Mfumo wa Israel wa kuzuia makombora ukizuia roketi zilizorushwa kutoka Lebanon, karibu na Kiryat Shmona, kaskazini mwa Israel, Septemba 18, 2024. (Picha kutoka CFP.CN))

    JERUSALEM/BEIRUT - Mgogoro kati ya Israel na Hezbollah umeongezeka kwa kasi siku ya Alhamisi, huku pande zote mbili zikirushiana mashambulizi mabaya na kuapa kulipizana kisasi zaidi, hali ambayo inazidi kuzidisha hofu za vita vya kikanda.

    Katika hotuba yake kwa njia ya televisheni, kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amelaani milipuko ya hivi majuzi iliyolenga vifaa vya mawasiliano kote Lebanon, na kuiita "kitendo cha vita" na kuilaumu Israeli moja kwa moja.

    Ameapa kwamba Hezbollah "itakua na nguvu na uwezo zaidi wa kukabiliana na hatari yoyote," ingawa hakutaja ni lini au wapi vitendo vya kulipiza kisasi vitatokea. Ndege za Israel zilikuwa zikivunja kizuizi cha sauti wakati wa hotuba hiyo ya Nasrallah.

    Kufuatia hotuba hiyo ya Nasrallah, Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant amesema katika ujumbe wake kwa njia ya video kutoka kituo cha kijeshi cha Kirya mjini Tel Aviv kwamba operesheni za kijeshi za Israel nchini Lebanon zitaendelea.

    Amesisitiza kuwa katika awamu hii mpya ya mgogoro, "kuna fursa kubwa lakini pia hatari kubwa," akiongeza kuwa "Hezbollah inahisi chini ya shinikizo na kuteswa."

    Kwa mujibu wa Waziri wa Afya wa Lebanon Firas Abiad, milipuko ya pager na redio za mikononi siku ya Jumanne na Jumatano imesababisha vifo vya watu 37 na kuacha watu 2,931 wakiwa wamejeruhiwa. Maafisa wa Israel hawajadai kuhusika na mashambulizi hayo.

    Siku ya Alhamisi pia, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) liliripoti kuwa Hezbollah ilifanya mashambulizi ya droni na makombora kaskazini mwa Israel, na kusababisha vifo vya wanajeshi wawili wa Israel na majeraha mabaya kwa mwingine.

    Katika kulipiza kisasi, IDF ilirusha haraka mizinga na mfululizo wa mashambulizi ya anga yaliyolenga maeneo yanayodaiwa kuwa ya Hezbollah kusini mwa Lebanon. IDF imetangaza kuwa mipango ya "kuendeleza vita" dhidi ya Hezbollah ilikuwa imeidhinishwa, huku mkuu wa kijeshi Herzi Halevi akikamilisha mikakati kwa ajili ya "uwanja wa vita wa kaskazini."

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>