<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Utafiti waonesha Afrika hupoteza dola bilioni 4.2 kila mwaka kutokana na vyombo vya habari vya Magharibi kuitangaza vibaya

    (CRI Online) Oktoba 11, 2024

    Kwa mujibu wa utafiti uliotangazwa jana Alhamisi, habari hasi dhidi ya Afrika, hasa zinazotangazwa na vyombo vya habari vya Magharibi, zinalifanya bara hilo lipoteze wastani wa dola za kimarekani bilioni 4.2 kila mwaka.

    Ukiwa umekusanywa data zake na Africa Practice, kampuni ya ushauri wa kimkakati, na Africa No Filter, kampuni ya uzengezi wa utoaji elimu, utafiti huo unalaumu uoneshaji taswira ya kikasumba wa Bara la Afrika unaofanywa na vyombo vya habari vya Magharibi kwa ajili ya kuzorotesha imani ya wawekezaji na kudumaza ukuaji.

    Ukiwa umepewa kichwa cha "Gharama ya Kasumba ya Vyombo vya Habari dhidi ya Afrika," utafiti huo unajikita katika michakato ya uchaguzi nchini Kenya, Nigeria, Afrika Kusini na Misri na habari za uongo kutoka vyombo vikubwa vya habari kutoka Ulimwengu wa Kaskazini.

    Unabainisha kuwa nchi zisizo za Kiafrika zilizo na hatari kama hizo wakati wa kipindi cha uchaguzi huandika kwa habari nzuri zaidi kutoka kwa vyombo hivyo vya habari vya Magharibi, ukiongeza kuwa bara hilo linaweza kuokoa hadi asilimia 0.14 ya pato la taifa (GDP) kila mwaka, kama kukiwa na hisia chanya za vyombo vya habari.

    Kwa mujibu wa utafiti huo, hasara ya dola bilioni 4.2 inayosababishwa na habari hasi za vyombo vya habari kila mwaka inaweza kufadhili elimu ya watoto milioni 12 wa Afrika, na kutoa chanjo kwa zaidi ya watoto milioni 73, idadi ambayo ni kubwa kuliko idadi ya pamoja ya wakazi wote wa Angola na Msumbiji.

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Africa Practice, Marcus Courage, amesema utafiti huo umesisitiza udharura wa kupinga kasumba kuhusu Afrika inayoendelezwa na vyombo vya Magharibi, inayojikita katika ubaguzi wa rangi na fikra za umwamba.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>