<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Xi Jinping atoa wito kwa juhudi za kuendeleza jumuiya ya China na Vietnam yenye mustakabali wa pamoja

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024

    Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akikutana na Luong Cuong, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPV kwenye Jumba la Mikutano ya Umma  la Beijing, Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

    BEIJING - Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), amekutana na Luong Cuong, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPV mjini Beijing siku ya Ijumaa ambapo ameeleza kuwa kushikilia uongozi wa chama cha kikomunisti na mfumo wa kijamaa ni umaalumu muhimu zaidi wa China na Vietnam, na ni msingi imara zaidi wa kisiasa wa kuendeleza uhusiano wa pande mbili.

    Rais Xi amesema kuwa siku zote China inaichukulia Vietnam kama kipaumbele katika diplomasia yake ya ujirani, China inapenda kushirikiana na Vietnam katika kuzidisha ushirikiano wa kiwango cha juu wa kunufaishana, kulinda haki na usawa wa kimataifa, na kuhimiza mambo ya maendeleo ya binadamu na kujenga kwa pamoja jumuiya ya China na Vietnam yenye mustakabali wa pamoja inayobeba umuhimu wa kimkakati.

    Rais Xi amesisitiza kuwa, mabadiliko ambayo hayajapata kuonekana katika miaka 100 iliyopita yanaendelea kwa kasi, China na Vietnam zinapaswa kushikilia mwelekeo sahihi wa kisiasa, kuutazama uhusiano kati ya China na Vietnam kutoka ngazi ya kimkakati, na kuhakikisha maendeleo endelevu, yenye mwelekeo sahihi ya uhusiano wa pande mbili.

    Ametoa wito kwa China na Vietnam kuimarisha hali ya kubadilishana mawazo, kutumia vizuri zaidi utaratibu wa majukwaa ya mijadala ya kinadharia na mafunzo ya makada, ili kuongeza uratibu na kubadilishana uzoefu wa utawala wa nchi na chama.

    Luong Cuong amesema kuwa Vietnam na China ni majirani wa kijamaa wanaounganishwa na milima na mito, kuendeleza uhusiano na China siku zote ni mahitaji, chaguo la kimkakati na kipaumbele vinavyofuata hali halisi ya diplomasia ya Vietnam kwa ujumla.

    Amesema Vietnam inapenda kujiunga pamoja na China katika kutimiza kikamilifu makubaliano muhimu yaliyofikiwa na viongozi wakuu wa nchi hizo mbili katika miaka ya hivi karibuni.?

    Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akikutana na Luong Cuong, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPV kwenye Jumba la Mikutano ya Umma  la Beijing, Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

    Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akikutana na Luong Cuong, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPV kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线