<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Soko la nyumba katika miji mikubwa ya China lashamiri kutokana na sera za vichocheo

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024

    Picha hii iliyopigwa kutoka Kilima cha Jingshan Agosti 12, 2024 ikionyesha maghorofa marefu ya wilaya ya kati ya biashara (CBD) siku ya jua kali mjini Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Li Xin)

    Picha hii iliyopigwa kutoka Kilima cha Jingshan Agosti 12, 2024 ikionyesha maghorofa marefu ya wilaya ya kati ya biashara (CBD) siku ya jua kali mjini Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Li Xin)

    BEIJING - Mauzo ya nyumba katika miji mikubwa ya China yanaongezeka mwezi huu, kutokana na mfululizo wa hatua za hivi karibuni za vichocheo zimeongeza imani ya wanunuzi wa nyumba ambapo dalili za awali za kuimarika kwa soko hilo la nyumba katika miji hiyo zinafufuka wakati mamlaka za China zinatafuta kuchochea nchi hiyo yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani kwa kuleta utulivu katika soko la nyumba.

    Sekta ya nyumba inayosuasua imekuwa kikwazo kikubwa kwa uchumi wa China katika miaka michache iliyopita, huku kukiwa na kampuni za ujenzi wa nyumba zisizo na fedha na idadi kubwa ya nyumba ambazo hazijauzwa na miradi ambayo haijakamilika.

    Katika jitihada za kuimarisha soko la nyumba, mamlaka za China mwishoni mwa Septemba ziliamuru kupunguza viwango vya riba kwa mikopo iliyopo, kupunguza mgao wa malipo ya awali na kulegeza masharti ya ununuzi.

    Miji ya Beijing, Shanghai, Guangzhou na Shenzhen ilitangaza hatua zao za kuchochea masoko ya ndani ya nyumba kabla ya likizo ya Siku ya Taifa.

    Hatua hizo zimekuja mwishoni mwa Septemba, wakati mkutano wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPCP) ulisisitiza haja ya juhudi za kubadili mwelekeo wa mdororo wa soko la nyumba na kuleta utulivu sokoni.

    Hatua hizo zimethibitisha kuwa na ufanisi katika kuongeza hisia za wanunuzi wa nyumba katika miji hiyo mikubwa haraka. Mwezi huu, vituo vingi vya mauzo ya nyumba katika miji hiyo mikubwa vimejaa wateja wakati ambapo wanunuzi wengi wa nyumba waliokuwa wanayumbayumba wanarudi tena sokoni.

    Kwa mfano, siku ya Jumapili, wateja 744 walijiandikisha kuwania nyumba 332 katika mradi mmoja wa nyumba mjini Shenzhen, na nyumba zote ziliuzwa kwa saa tatu na nusu, hali ambayo ni ya nadra sana kabla ya hatua hizo kutangazwa.

    Liu Xiaofei, meneja wa mauzo katika Kundi la kampuni za kujenga nyumba la LVGEM mjini Shenzhen, amesema hatua hizo mpya zimehamasisha sana soko na imani, zikisaidia kuongeza kiwango cha ubadilishaji na kufupisha mchakato wa kufanya maamuzi.

    Liu anaamini kuwa soko la nyumba linaimarika baada ya kugonga mwamba, lakini hatua zaidi zinahitajika ili kuongeza imani ya wanunuzi.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>