<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Kongamano lafanyika kwenye?Umoja wa Afrika kuhimiza?kilimo cha mpunga ulioboreshwa barani Afrika

    (CRI Online) Oktoba 18, 2024

    Kongamano la Kimataifa la China na Afrika Kuhusu Mpunga Bora barani Afrika limefunguliwa Jumatano wiki hii kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia, kwa kutoa wito wa kupanua kilimo cha mpunga ulioboreshwa katika bara hilo.

    Kongamano hilo pia limejadili jinsi mpunga huo unavyoweza kuboresha usalama wa chakula barani Afrika kwa kutumia mbinu za kiuvumbuzi za kilimo na kutumia vizuri uhusiano wa kimkakati kati ya China na Afrika katika sekta ya kilimo.

    Akizungumza katika kongamano hilo, Kamishna wa Umoja wa Afrika anayeshughulikia Kilimo, Maendeleo ya Vijijini, Uchumi wa Bluu na Mazingira Endelevu, Josefa Leonel Sacko amesema, Afrika haijitoshelezi kwa uzalishaji wa mpunga na inategemea kwa kiasi kikubwa uagizaji kutoka nje ili kutimiza asilimia 64 ya mahitaji yake.

    Amesema ili kuondoa pengo hili katika mahitaji na kiasi kinachopatikana, ni lazima kukumbatia suluhisho linaloboresha kilimo endelevu cha mpunga, na moja ya suluhisho ni kutambulisha na kutangaza mpunga ulioboreshwa kupitia mbinu bora za kisasa za uzalishaji wa mbegu za mpunga.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>