<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    “Mashine ya kujenga majengo” yawezesha ujenzi wa majengo wa kutumia akili mnemba mkoani Shandong, China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 31, 2024
    “Mashine ya kujenga majengo” yawezesha ujenzi wa majengo wa kutumia akili mnemba mkoani Shandong, China
    Mhandisi akijulisha mchakato wa kufanya kazi kwa mfumo wa roboti ya ujenzi wa majengo ya makazi wa “Tianchan” tarehe 29, Mei.

    Hivi karibuni, mfumo wa roboti ya kujenga majengo ya makazi wa “Tianchan” uliovumbuliwa kwa kujitegemea na Idara ya Nane ya Kampuni ya Ujenzi ya China (China Construction Eighth Engineering Division, CCEED) umeanza kutumika kwenye Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong wa China.

    Inafahamika kuwa, mashine hiyo ya kujenga majengo inafungamanisha sifa za ujenzi wa kutumia akili mnemba na wa kijani, ikiwa na faida ya ujenzi wenye ufanisi, salama, na wenye kuaminika, gharama nafuu na kiwango kinachodhibitika. Mfumo wa “Tianchan” unaweza kukamilisha ujenzi wa ghorofa moja ndani ya siku tano, idadi ya wafanyakazi hupunguzwa kwa nusu, na muda wa ujenzi hufupishwa kwa theluthi.

    (Picha na Li Ziheng/Xinhua)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线