<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Timu ya China yaandaa darasa la ulinzi wa mabaki ya kale ya kitamaduni kwa wanafunzi wa Afghanistan

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 17, 2024
    Timu ya China yaandaa darasa la ulinzi wa mabaki ya kale ya kitamaduni kwa wanafunzi wa Afghanistan
    Picha hii iliyopigwa tarehe 16 Juni 2024 ikionyesha masomo ya nje ya darasa yanayolenga kuongeza uelewa wa ulinzi wa mabaki ya kale ya kitamaduni kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Afghanistan katika Jimbo la Bamiyan, Afghanistan ya Kati. (Picha na Saifurahman Safi/Xinhua)

    BAMIYAN, Afghanistan – Masomo ya nje ya darasa yaliyoandaliwa na timu ya watu sita inayoundwa na wataalam wa utafiti wa mabaki ya kale na mali ya urithi wa kitamaduni wa China, pamoja na wataalam na maofisa wa Afghanistan yalifanyika kwenye eneo kubwa la Waumini wa Imani wa Kibuddha na Shahr-e Gholghola, yote yakiwa ni maeneo ya mali ya urithi ya Dunia yaliyoorodheshwa na UNESCO katika Bonde la Bamiyan. Masomo hayo yanayolenga kuongeza uelewa wa ulinzi wa mabaki ya kale ya kitamaduni kwa wanafunzi wa shule ya msingi wa Afghanistan yameanza siku ya Jumapili katikati mwa Jimbo la Bamiyan nchini Afghanistan.

    Katika masomo hayo ya nje ya darasa, wanafunzi wa Afghanistan walifundishwa kuhusu hali ilivyo sasa ya ulinzi wa mabaki ya kale ya kitamaduni huko Bamiyan, ujuzi wa vitendo unaohitajika kwa ajili ya ulinzi wa mali hiyo ya urithi, na historia ya mawasiliano ya kitamaduni kati ya Afghanistan na China kwenye Njia ya kale ya Hariri.

    "Nataka kuchangia maendeleo ya baadaye ya nchi yangu na kufanya kazi katika Nyanja ya historia na akiolojia katika siku zijazo," amesema Mohammad Zaid, mwanafunzi wa darasa la sita katika masomo hayo ya nje ya darasa, ambaye alipokea cheti kwa ufaulu wake mzuri.

    Jimbo la Bamiyan nchini humo inajivunia maeneo kadhaa ya mabaki ya kale ya kitamaduni, zikiwemo sanamu mbili za Buddha ambazo zina umri wa zaidi ya miaka 1,400.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>