<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
    Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO
    Picha hii iliyopigwa katika kaunti ya Kilifi, Kenya, Aprili 15, 2023 ikionyesha sehemu ya magofu ya mji wa kale wa Gedi.(Xinhua/Han Xu)

    Mkutano wa 46 wa Mali ya Urithi wa Dunia wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) uliofanyika New Delhi, India, hivi karibuni umepitisha azimio la kuyaingiza magofu ya mji wa kale wa Gedi nchini Kenya kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO. Mji huo wa kale wa Gedi, ulioko katika eneo la pwani ya Kenya, Kaunti ya Kilifi, ni mabaki ya mji wa Waswahili. Magofu yaliyopo sasa ya mji huo wa kale wa Gedi yamezungukwa na misitu minene ya asili, yakiendelea kuwa na mabaki ya nyumba za makazi, majengo ya dini, majengo ya mji na mifumo ya maji iliyokuwa imeendelezwa zaidi wakati huo. Yanaonyesha mpangilio wa mji huu uliowahi kustawi sana zamani na kuonyesha mitindo ya usanifu majengo ya ustaarabu wa Waswahili.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线