<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Vitu vya?Utamaduni Usioshikika vyaendelea?kurithiwa kando ya Mfereji Mkuu huko Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2024
    Vitu vya?Utamaduni Usioshikika vyaendelea?kurithiwa kando ya Mfereji Mkuu huko Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, China
    Mrithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa nakshi kwenye mianzi ya Liuqing ya Wuxi, Qiao Jinhong akiweka nakshi kwenye mianzi, Septemba 10. (Xinhua/Yang Lei)

    Baadhi ya vitu vya urithi wa utamaduni usioshikika kama vile sanamu za udongo za Wuxi, ustadi wa utarizi wa mtindo wa Wuxi na nakshi kwenye mianzi ya Liuqing vilionyeshwa, kufundishwa, kuzalishwa na kuuzwa katika Kijiji cha kale cha Huishan, Mjini Wuxi, Mkoani Jiangsu na kuwezesha watu wengi zaidi kupata uzoefu wa vitu hivi vya urithi wa utamaduni usioshikika kwa karibu.

    Tangu 2023, mpango kazi wa miaka mitatu wa Mradi wa Uvumbuzi wa vitu vya Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa "Mamia ya Wasanii na Maelfu ya Kazi zao" umezinduliwa katika mji wa Wuxi ili kuboresha kiwango cha kurithi, kuhifadhi na maendeleo ya vitu vya urithi wa utamaduni usioshikika.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线