<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Xi Jinping akagua Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu wa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024
    Xi Jinping akagua Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu wa China
    Tarehe 11, Septemba 2024, Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Xi Jinping, ambaye pia ni rais wa China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China alifanya ukaguzi katika Mji wa Lanzhou wa Mkoa wa Gansu, China. (Xinhua/Wang Ye)

    Mchana wa tarehe 11, Xi Jinping, ambaye ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China alifanya ukaguzi kwenye sehemu ya jamii ya wakaazi ya Zaolinxi ya Eneo la Anning, na sehemu ya Daraja la Zhongshan la Mto Manjano katika Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu wa China, ambapo alifahamishwa kuhusu hali ya sehemu hiyo kuboresha huduma kwa jamii ya wakaazi na kutoa urahisi kwa maisha ya watu, kuimarisha usimamizi wa pande zote wa usalama wa jamii na kuhimiza ulinzi wa mazingira ya asili ya eneo la Mto Manjano.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线