<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Ndege ya Y-20?yawasili?Afrika Kusini kwa Mara ya Kwanza na kushiriki?Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
    Ndege ya Y-20?yawasili?Afrika Kusini kwa Mara ya Kwanza na kushiriki?Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika
    Picha hii iliyopigwa kwenye Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika ikionyesha marubani wa Ndege ya Y-20 ya Jeshi la Anga la China huko Pretoria, mji mkuu wa Afrika Kusini, Septemba 18. (Xinhua/Yan Jiali)

    Ndege ya Y-20 ya Jeshi la Anga la China imeshiriki kwenye Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika yaliyofunguliwa huko Pretoria, mji mkuu wa Afrika Kusini, Septemba 18 ikiwa ni mara ya kwanza kwa ndege hiyo kuwasili Afrika Kusini na itaonyeshwa ikiwa imetua na wakati ikifanya maonyesho ya anga.

    Wakati wa maonyesho hayo ya anga Ndege ya Y-20 imepangwa kukamilisha miruko mitano ya kistadi kwa dakika 10.

    "Ili kuonyesha mwonekano bora kwenye maonyesho, tulibuni miruko ya kistadi angani kulingana na sifa za anga za uwanja wa ndege husika na muda uliopangwa wa onyesho, na kujitahidi kuonyesha ufanisi bora wa kuruka wa ndege ya Y-20 na pia kuonyesha mbinu bora na uwezo mzuri wa marubani wa Jeshi la Anga la China." Mkuu wa marubani anayesimamia kazi hiyo Liang Yao amesema.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线