<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Tasnia ya AI yashika kasi katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
    Tasnia ya AI yashika kasi katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
    Wafanyakazi wa Shirika la Taasisi ya Utafiti ya Anhui North Microelectronics wakitazama vifaa vya MEMS kwenye Bonde la Vifaa vya Kuhisi la China katika Mji wa Bengbu, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Septemba 12, 2024. (Xinhua/Huang Bohan)

    Bonde la Hotuba la China katika Mji wa Hefei, Bonde la Maono la China katika Mji wa Wuhu na Bonde la Vifaa vya Kuhisi la China katika Mji wa Bengbu, ni maeneo matatu muhimu ya kielelezo kwa tasnia ya teknolojia za akili mnemba (AI) katika Mkoa wa Anhui.

    Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo wa Anhui umekuwa ukiendeleza tasnia yake ya AI kwa bidii huku ikiwekea mkazo ujengaji wa vipaji na uwekezaji wa mtaji. Bidhaa na programu mbalimbali mpya kama vile mfumo wa kutambua ubora wa AI viwandani, vifaa vya MEMS na modeli kubwa ya Al zimeweza kutengenezwa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线