Lugha Nyingine
Maonyesho ya 21 ya China-ASEAN yafunguliwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 25, 2024
Waonyeshaji bidhaa wakipiga ngoma ili kuvutia watembeleaji maonyesho kwenye Banda la Cambodia la Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho na Mikutano cha Nanning, China, Septemba 24. (Xinhua/Zhang Ailin) |
Maonyesho ya 21 ya China na Jumuiya ya Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) na Mkutano wa Kilele wa Biashara na Uwekezaji wa China-ASEAN umefunguliwa siku ya Jumanne, Septemba 24 katika Mji wa Nanning, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma