<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Tarafa ya Yumai katika Mkoa wa Xizang wa China yafungua ukurasa mpya

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024
    Tarafa ya Yumai katika Mkoa wa Xizang wa China yafungua ukurasa mpya
    Picha hii ya kuunganisha ikionyesha mwonekano wa Tarafa ya Yumai ya Mji wa Shannan wa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 26, 2003 (juu, picha na mpiga picha wa Xinhua Sonam Norbu), na mwonekano wa sasa Oktoba 14, 2024 (picha na mpiga picha wa Xinhua Ding Ting).

    Tarafa ya Yumai iko kwenye sehemu ya kusini ya safu za milima ya Himalaya, tarafa hiyo ilikuwa na wakazi watatu tu. Leo hii, tarafa hiyo imekuwa na wakazi zaidi ya 200 na inasimamia vijiji viwili.

    Tangu Mwaka 2018, tarafa hiyo ilianza kazi ya ujenzi wa kijiji cha mpakani chenye ustawi ambapo kuna nyumba zenye fremu za chuma, mifereji ya maji, shule, na bustani kuu vikijitokeza moja baada ya nyingine. Mwaka 2019, uwekezaji wa serikali wa yuan zaidi ya milioni 500 (dola za Kimarekani kama milioni 70.28) ulikamilisha ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 50 inayounganisha hiyo na nyingine ya jirani, hali ambayo ilimaliza maumivu yake ya kufunikwa na theluji kila mwaka. Zaidi ya hayo, Shirika la Gridi ya Kiaifa la China lilirefusha njia ya kusambaza umeme wa kilovolti 10 hadi Yumai, ikitoa umeme thabiti na salama.

    Mwaka 2023, wastani wa mapato ya kila mwaka ya kila mkazi katika tarafa hiyo ya Yumai ulifikia yuan zaidi ya 40,000 (dola za Kimarekani kama 5,622.08) na eneo la makazi la kila mtu limefikia mita za mraba 40.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线