<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Kumbi kuu 12?za?maonyesho za?Jumba Kubwa la Makumbusho la Misri zaanza kazi za majaribio

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024
    Kumbi kuu 12?za?maonyesho za?Jumba Kubwa la Makumbusho la Misri zaanza kazi za majaribio
    Picha hii iliyopigwa Oktoba 15, 2024 ikionyesha sanamu ya farao kwenye ukumbi wa maonyesho wa Jumba Kubwa la Makumbusho la Misri mjini Giza, Misri. (Xinhua/Sui Xiankai)

    CAIRO - Jumba Kubwa la Makumbusho la Misri (GEM) limetangaza siku ya Jumanne kuwa, kumbi zake kuu 12 zitaanza kufanya kazi za majaribio leo Jumatano kwa ajili ya kutoa maonyesho zilizoandaliwa kwa umakini, ambayo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za jumba hilo kuhakikisha uzoefu mzuri wa watu kutembelea kabla ya kufungua rasmi.

    Awamu hii inaashiria hatua nyingine ya kusonga mbele kwa jumba hilo, kufuatia kazi ya majaribio wenye mafanikio katika maeneo mahsusi, ikijumuisha matembezi ya kibinafsi na shughuli mbalimbali tangu kufungua Novemba 2022.

    "Kumbi kuu hizo 12 zinachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 18,000. Kumbi hizi zinaeleza historia ya Misri ya kale kulingana na jamii ya Wamisri wa kale kupitia zama mbalimbali... watu watakutana na aina nyingi za vitu vya kale, vinavyowasilishwa ndani ya mada tatu zilizojumuishwa - ufalme, jamii, na imani," Abbas al-Tayeb, waziri msaidizi wa utalii na mambo ya kale wa masuala ya kiakiolojia katika jumba hilo, ameliambia Shirika la Habari la China, Xinhua.

    Al-Tayeb amesema hadi kufikia sasa, vitu vya kale takriban 57,000 vimehamishiwa kwenye jumba hilo la makumbusho, na vitu vya kale zaidi ya 14,000 vimeshawekwa kwenye kumbi kuu hizo za maonyesho.

    Al-Tayeb amebainisha kuwa kuna jumba la makumbusho la watoto ndani ya jumba hilo, akiongeza kuwa jumba hilo halionyeshi mambo ya kale, bali linaonyesha mambo ya kihistoria kwa watoto kupitia njia ya kuvutia.

    Amesema soko la China ni muhimu sana kwa utalii wa Misri, akiongeza kuwa jumba hilo la makumbusho litavutia watalii wengi wa China ambao wana shauku kubwa kuhusu ustaarabu na mambo ya kale ya Misri.

    "Tunajali watalii wa China. Kwa mfano, maelezo na ufafanuzi wa vitu vya kale kwenye Grand Staircase yameandikwa kwa lugha saba, ikiwa ni pamoja na Kichina," afisa huyo amesema.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>