<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Safari za abiria zaongezeka maradufu wakati likizo ya Siku ya Taifa ya China inapokamilika

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2024
    Safari za abiria zaongezeka maradufu wakati likizo ya Siku ya Taifa ya China inapokamilika
    Polisi mwanamke akisaidia abiria kwenye kando ya njia ya reli katika Stesheni ya Reli ya Taizhou Mkoani Jiangsu, Mashariki mwa China, Oktoba 6, 2024. (Picha na Tang Dehong/Xinhua)

    BEIJING - Sekta ya reli ya China imeshuhudia ongezeko maradufu la msongamano wa abiria siku ya Jumatatu wakati wasafiri walipokuwa wakirejea kutoka kwenye likizo ndefu ya wiki nzima ya Siku ya Taifa ambapo mtandao wa reli ulikuwa ukikadiriwa kusafirisha abiria milioni 19.86 Jumatatu, siku ya mwisho ya likizo hiyo, Kundi la Kampuni za Reli za China limesema.

    Treni jumla ya 13,103 zilikuwa zikifanya kazi siku hiyo, zikiwemo treni 1,705 za ziada zilizokuwa zimepangwa kukidhi mahitaji yanayoongezeka. Hii inaashiria kiwango cha juu katika historia kwa uwezo wa kufanya kazi kwa siku moja, kundi hilo limesema.

    Katika kipindi cha siku 10 za safari za likizo, kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba 8, mtandao huo wa reli wa China ulikuwa umekadiriwa kusafirisha abiria milioni 175.

    Ili kukidhi ongezeko la usafiri, China ilichukua hatua za kuongeza treni za ziada kwenye njia zenye wasafiri wengi na kuimarisha huduma ili kuhakikisha usafiri salama na wenye utaratibu kwa abiria.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线